PICHA MBALI MBALI WAKATI WA MAZISHI YA 'NEMELA' NEEMA PHILIP MANGULA
Wednesday, August 21, 2013
Wana familia na waombolezaji wakiwa katika hali ya huzuni.
| Watumishi wa CCM Makao Makuu wakibadilishana mawazo na Viongozi wa Dini wakati wa mazishi ya Neema Mangula.
Mahala ulipopumzishwa mwili wa Neema Mangula.
|
No comments:
Post a Comment