Msemaji wa wasemaji wasiokuwa na mahali pa kusemea" Mecck Lameck@ Baraka fm Mbeya
Mwandosya amuita Lowassa kambi yake
Profesa Mark Mwandosya, ambaye anawania kuteuliwa na CCM
kugombea urais, amemtaka Edward Lowassa kujiunga na kambi yake kwa kuwa
makada wengine wanne kwenye mbio hizo wanamuunga mkono.