Baadhi
ya wawakilishi wa Mtandao wa Wazee wakiwa kwenye picha ya pamoja na
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye nje ya ofisi za
Makao Makuu ya Chama Dodoma leo tarehe 30 Agosti 2013.
Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na mmoja wa wawakilishi wa
Mtandao wa Wazee Bibi Koku , Wazee hao walifika Makao Makuu ya CCM kuja
kuzungumza madai ya Pensheni zao ambayo waliahidiwa na serikali.
No comments:
Post a Comment