Pages

Wednesday, 21 August 2013

PICHA MBALI MBALI WAKATI WA MAZISHI YA 'NEMELA' NEEMA PHILIP MANGULA

Wednesday, August 21, 2013


 Mwakilishi wa Mheshimiwa Rais katika mazishi ya Nemela  Mangula  Mh. Anne Makinda akiwa ameongozana na Mh. Wassira na viongozi wengine wakipitia wosifu wa marehemu pamoja na ratiba za mazishi.ENDELEA....
Wana familia na waombolezaji wakiwa katika hali ya huzuni.
Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Nemela Mangula,mkoani Njombe. 
Jeneza la Neema Philip Mangula 




Watumishi wa CCM Makao Makuu wakibadilishana mawazo na Viongozi wa Dini wakati wa mazishi ya Neema Mangula.


Mahala ulipopumzishwa mwili wa Neema Mangula.


0 comments

No comments:

Post a Comment