Waziri Mwakyembe akabidhi rasmi Ithibati ya mafunzo ya Mizigo hatarishi kwa NIT.

Waziri
wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe(aliyevaa tai nyekundu),
akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishani (NIT),Mhandisi Dk.
Zacharia Mganilwa(kulia) jana kabla Waziri huyo hajakabidhi Ithibati ya
Kuendeshea mafunzo ya wahudumiaji wa Mizigo hatarishi katika viwanja vya
NIT. Kushoto kwa Waziri wa Uchukuzi ni Mwenyektii wa Baraza la Uongozi
wa chuo cha NIT, Ms. Priscilla J. Chilipweli.
Waziri
wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akitoa hotuba yake kwa wahitimu na
wageni waalikwa, hawapo pichani wakati wa sherehe ya kukabidhi Ithibati
ya Kuendeshea mafunzo ya wahudumiaji wa Mizigo hatarishi katika
viwanja vya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).
Waziri
wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akikabidhi Ithibati ya Kuendeshea
mafunzo ya wahudumiaji wa Mizigo hatarishi kwa Mhadhiri wa Chuo cha
Taifa cha Usafirishaji(NIT), Bw. Juma Fimbo jana wakati wa sherehe
maalum za kukabidhi ithibati hiyo ziliyofanyika katika viwanja vya chuo
hicho. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Chuo hicho Mhandisi Dkt. Zacharia
Mganilwa(wa kwanza kushoto) na Mkuu Mwenyektii wa Baraza la Uongozi wa
chuo cha NIT, Ms. Priscilla J. Chilipweli(wa pili kushoto).
Waziri
wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akikabidhi Ithibati ya Kuendeshea
mafunzo ya wahudumiaji wa Mizigo hatarishi kwa Mwenyekiti wa Baraza la
Uongozi wa chuo cha NIT, Ms. Priscilla J. Chilipweli huku akishuhudiwa
na Mkuu wa Chuo hicho Mhandisi Dkt. Zacharia Mganilwa(wa kwanza
kushoto).
Waziri
wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (wa tatu kutoka kulia waliokaa),
akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Chuo Cha Taifa Cha
Usafirishaji(NIT), Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa chuo cha NIT Ms.
Priscilla J. Chilipweli(kulia kwa Waziri Mwakyembe), Mkuu wa Chuo hicho
Mhandisi Dkt. Zacharia Mganilwa (kushoto kwa Waziri Mwakyembe) na
wahitimu wa kozi ya kuhudumia mizigo hatarishi Bi. Dorah John (wa
kwanza kulia waliosimama) na Zuhura Adam (wa kwanza kushoto waliosimama)
wakati wa sherehe za kukabidhi rasmi Ithibati ya Kuendeshea mafunzo ya
wahudumiaji wa Mizigo hatarishi pamoja na kutunuku vyeti kwa wahitimu
wa kozi hiyo. Wa kwanza kulia waliokaa ni Mkurugenzi wa Huduma za
Uchukuzi Wizara ya Uchukuzi, bw. Peter Lupatu.(Picha na Kitengo cha
Mawasiliano Serikalini-UCHUKUZI)




No comments:
Post a Comment