DK.Shein afanya Mabadiliko katika Wizara za Serikali ya Mapinduzi

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimuapisha Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini kuwa Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Ikulu na Utawala Bora,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu
Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] M.M
No comments:
Post a Comment