JOHNSON JABIR MWANDISHI HABARI AVAMIWA, APIGWA NA MAPANGA, AJERUHIWA
ARUSHA: (JAIZMELALEO) - Maisha ni safari ndefu wadau wa JAIZMELALEO.
Siku
zote mshukuru Mungu kwa kila jambo linapotokea katika maisha yako wala
usiwe na hofu kabisa hata kama linauma kama nini LEAVE TO GOD.
Usiku
wa kuamkia Septemba 22, 2013 katika mtaa wa Elkurei katika Kata ya
Kiranyi, Arumeru mkoani Arusha wezi walinivamia na kunijeruhi haswa.
Walibeba
vifaa vya kazi lakini kubwa zaidi ilikuwa ni kunitoa roho lakini
Mwenyezi Mungu alininusuru kwa kunitia nguvu kupambana nao walikunja na
marungu, visu na mapanga.
Kwa niaba ya kikosi kazi cha mtandao wa www.kalulunga.blogspot.com ninatoa pole sana kwa ndugu yetu Johnson Jabir.



No comments:
Post a Comment