GARI LA MWISHO KUTUMIWA NA MAREHEMU BABA WA TAIFA,NA MAGARI MENGINE YA SERIKALI ALIYOKUWA AKIYATUMIA ENZI ZA UHAI WAKE
Hili ni gari ambalo marehemu baba wa Taifa ambae leo anatimiza
miaka 14 tangu kufariki kwake alilitumia wakati anapelekwa Airport
kwaajili ya matibabu.
Gari hili lipo Makumbusho ya Taifa Dar es salaam.
Hili ni gari ambalo lilikuwa likitumiwa na baba wa Taifa kwaajili ya shughuli za Jumuiya ya Africa ya Mashariki
Hili ni gari lililotumika na baba wa Taifa kwa shughuli za Serikali
Gari lingine nalo lililokuwa likitumiwa na baba wa Taifa kwa shughuli za Serikali







No comments:
Post a Comment