AJALI MBAYA DODOMA
WATU wanne
wamefariki dunia huku wengine 10 wakijeruhiwa baada ya basi la kampuni ya
Najimunisha lililokuwa likitokea Dar es Saalam kwenda Mwanza kupasuka tairi la
mbele na Kupinduka katika eneo la Mbande Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma LEO.
No comments:
Post a Comment