MECK LAMECK BLOG. TUNAOMBA RADHI KWA KUTOKUWA PAMOJA NAWE KWA KWA MDA MREFU LAKINI HIYO ILIKUWA NI KATIKA KUJIPANGA NA SASA TUMEKUJA KWA SPEED YA AJABUUUUUU PATA HABARI KABAMBE KUTOKA KILA KONA YA DUNIA.
By MECK LAMECK.
Chadema ngangari, yasisitiza kutoshiriki Bunge la Katiba
Mwenyekiti wa Chadema,FreemanMbowe akizungumza na waandishi wahabari Dar es Salam jana, kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama hicho, iliyokutana kwa siku mbili Dar es Salaam, Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho Dk. Wilbrod Slaa. Picha na Venance Nestor
WADAU TUNAOMBA RADHI KWA TASWIRA HII KAMA ITAKUKWAZA.
WATU
wawili wakazi wa manispaa ya Singida ambao majina yao bado
hayajajulikana,wakiwa kwenye Jokofu la kuhifadhia maiti baada ya kuuawa
wakati wa majibishano ya risasi na polisi.(Picha na Nathaniel Limu).
Kamanda
wa polisi mkoa wa Singida,SACP Geofrey Kamwela,akionyesha bunduki ya
kijeshi aina ya SMG no.34555 iliyokuwa ikitumiwa na watu wawili
wanaodhaniwa kuwa majamabazi katika kijiji cha Manga manispaa ya
Singida.(Picha na Nathaniel Limu).
MBUNGE
wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), amesema asilimia 40
ya Baraza la Mawaziri limedumaa kwa sababu limeshindwa kutekeleza
majukumu yake.
mkurugenzi
wa mamlaka ya maji mkoani mbeya Simion aliongozana na madiwani wa kata
ya IGANZO,Mh USWEGE FULIKA na diwani wa kata ya Mwansekwa GASPER
NGONELA ambapo wameitaka mamlaka kuzidi kutoa elimu kwa wananchi wanao
zunguka vyanzo vya maji.
WADAU WA NISHATI YA UMEME WA MAPOROMOKO YA MAJI NJOMBE WAAHIDI KUFANYA MAKUBWA BAADA YA MAFUNZO.
Wadau wa Nishati ya Umeme
wa Maporomoko Madogo ya Umeme Wanaoendelea na Mafunzo Yao ya Wiki Mbili
Mjini Njombe Wamesema Tatizo la Fedha Ili Kuendleza Miradi Yao Imekuwa
ni Kikwazo Kikubwa Kwao Ili Kusogeza Huduma Kwa Wananchi