Jeshi la Polisi Singida laua majambazi wawili
WADAU TUNAOMBA RADHI KWA TASWIRA HII KAMA ITAKUKWAZA.

WATU
wawili wakazi wa manispaa ya Singida ambao majina yao bado
hayajajulikana,wakiwa kwenye Jokofu la kuhifadhia maiti baada ya kuuawa
wakati wa majibishano ya risasi na polisi.(Picha na Nathaniel Limu).
Kamanda
wa polisi mkoa wa Singida,SACP Geofrey Kamwela,akionyesha bunduki ya
kijeshi aina ya SMG no.34555 iliyokuwa ikitumiwa na watu wawili
wanaodhaniwa kuwa majamabazi katika kijiji cha Manga manispaa ya
Singida.(Picha na Nathaniel Limu).


MBUNGE
wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), amesema asilimia 40
ya Baraza la Mawaziri limedumaa kwa sababu limeshindwa kutekeleza
majukumu yake.