Pages
▼
Thursday, 13 November 2014
Thursday, 4 September 2014
UHARIBIFU WA MAZINGIRA MTO NZOVWE MBEYA WAKITHIRI
Wananchi waishio maeneo ya mwakibete mjini hapa wameiomba serikali kuwachukulia hatua kali za kisheria dhidi ya watu wanaofanya shughuli zao katika mto nzovwe kwani kufanya hivyo ni uharibifu wa chanzo hicho cha maji pamoja na kuhatarisha afya za watumiaji wengine wa mto huo.

Monday, 21 July 2014
newwwws
Chadema ngangari, yasisitiza kutoshiriki Bunge la Katiba

- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salam jana, kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama hicho, iliyokutana kwa siku mbili Dar es Salaam, Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho Dk. Wilbrod Slaa. Picha na Venance Nestor