Wazanzibari waliumbua Bunge
Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal(kulia), akizungumza na Mkuu wa
Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki mara baada ya kufungua Kongamano
la Katiba Mpya na Nafasi ya Wazenjibara (Wazanzibari wanaoishi bara)


Mwili
wa Marehemu Yusta Mkali ukiwa tayari kwa kuagwa Hospital ya
Mwananyamala jijini Dar es Salaam,na kuanza kwa safari ya mazishi
yatakayofanyika kijiji cha Nzasa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.
Baadhi ya wafanyakazi aliokuwa akifanya nao kazi wakitoa heshima za mwisho
Wakinamama wakilia kwa uchungu
Mtoto
wa Marehemu Baraka Simon(12)akimuaga mama yake mzazi kabla ya safari ya
kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi kuanza aliemshikilia ni mama yake
mkubwa Lucy Ngorido.
Jeneza
lililobeba Mwili wa Marehemu Yusta Mkali likifunikwa na kupandishwa
kwenye gari tayari kwa kuanza safari ya kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi
yatakayofanyika hapo kesho.
Safari imeanza