Pages

Wednesday, 21 August 2013


POLISI 7 'FEKI' MBARONI DAR

  • WALIVALIA SARE,MMOJA ANA CHEO CHA MEJA
  • YADAIWA WALIKUWA 'DORIA' MAENEO YA BOKO
  • OFISA USALAMA BANDIA NAYE ABAMBWA

Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

 
Kwa ufupi
Nchi hizo zitaacha kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kutokana na urasimu na pia usumbufu katika kusafirisha bidhaa.

Polisi wamtaka Sheikh Kundecha ampeleke Sheikh Bungo kituoni

 
Kwa ufupi
Wadai Sheikh Bungo alitamka kauli za uchochezi kwenye mkutano uliofanyika wilayani Temeke hivi karibuni

Serikali yasalimu amri kwa Dowans

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG),Fredrick Werema 
Kwa ufupi
  • Maswi alisema baada ya Waziri Muhongo kutoa kauli hiyo bungeni, utekelezaji wake unapaswa kufanywa na wanasheria wa Serikali na kwamba mtu sahihi wa kuulizwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kwa sababu Tanesco ni shirika linalomilikiwa na umma kwa asilimia 100.

Makatibu wakuu wapya

 

Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete amefanya uteuzi wa makatibu wakuu kumi na mmoja na naibu makatibu wakuu 14 wapya katika wizara mbalimbali.
Miongoni mwa walioteuliwa ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Sifuni Mchome ambaye sasa anakuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyekuwa Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Deodatus Mtasiwa ambaye anakuwa Naibu Katibu Mkuu, Tamisemi.
Mtasiwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni

PICHA MBALI MBALI WAKATI WA MAZISHI YA 'NEMELA' NEEMA PHILIP MANGULA

Wednesday, August 21, 2013


 Mwakilishi wa Mheshimiwa Rais katika mazishi ya Nemela  Mangula  Mh. Anne Makinda akiwa ameongozana na Mh. Wassira na viongozi wengine wakipitia wosifu wa marehemu pamoja na ratiba za mazishi.

Tuesday, 20 August 2013

Jaji Mkuu Z’bar kusikiliza kesi mauaji Padri Mushi;

jajimkuu_732e0.jpg
Kesi ya mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Zanzibar, sasa itasikilizwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu.