Makatibu wakuu wapya
Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete amefanya uteuzi wa makatibu
wakuu kumi na mmoja na naibu makatibu wakuu 14 wapya katika wizara
mbalimbali.
Miongoni mwa walioteuliwa ni Katibu Mtendaji wa
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Sifuni Mchome ambaye sasa
anakuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyekuwa
Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Deodatus Mtasiwa ambaye anakuwa Naibu
Katibu Mkuu, Tamisemi.
Mtasiwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya
na Ustawi wa Jamii, Blandina Nyoni