Pages

Tuesday, 20 August 2013

DK.Shein afanya Mabadiliko katika Wizara za Serikali ya Mapinduzi

IMG 30622 1c628
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]     M.M

Mwakyembe awashukia wapelelezi dawa za kulevya

mwakyembepx b7145
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amewashukia waendesha mashitaka na wapelelezi kesi zinazohusiana na dawa za kulevya kuwa hadi sasa zimefikia 36 lakini hakuna taarifa zake.
Mwakyembe aliyasema hayo wakati akizungumza kwenye Kipindi cha Jenerali On Monday kilichorushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten juzi usiku.

Ukatili huu utaisha lini?

KUCHOMWAMOTOSONGEA 64665
Fikiri Hausi mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi ya majengo manispaa ya Songea akiwa amelazwa Hospitali ya mkoa baada ya kuunguzwa na mama yake. Jeshi la polisi lina endelea kumtafuta mama wa mtoto huyo(Picha: Songea habari)
MKONOULIOUNGUZWA bb7f1
huu ni mkono wa Fikiri akiwa hospitali kwa matibabu
P.T

WAKAZI WA GAIRO WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE MKUTANO WA BARAZA LA KATIBA

JK ataka vyuo vikuu nchini kudahili wanafunzi wengi


Rais Jakaya Kikwete 
Na Meck Lameck
Kwa ufupi
  • Asema idadi inayodahiliwa ni ndogo, ikilinganishwa na nchi jirani.

Wakurugenzi 70 vinara mtandao wa ufisadi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda 
Kwa ufupi
  • Ukiangalia kesi zilizoko mahakamani ambazo upelelezi wake bado unaendelea utaona wazi kuwa Takukuru ni miongoni mwa watu wanaopokea rushwa, jambo ambalo limesababisha kuchelewesha upelelezi au kupindisha ukweli

NJOMBE
Jamii wilayani Ludewa mkoani Njombe, imetakiwa kutoa ushirikiano katika kipindi hiki cha ujenzi wa barabara unaoendelea kuanzia Ludewa maeneo ya Kilimahewa mjini Ludewa hadi kijiji cha Lupingu.
Na Festus Pangan