MWANAFUNZI AVUNJWA KIUNO NA MWALIMU WAKE KWA KUCHAPWA VIBOKO MKOANI KIGOMA
Hizi ni picha za mtoto Isumaili Joseph anaesadikika kutendewa kitendo cha kinyama kwa kupigwa viboko kiunoni na mwalimu wake Mr. Nguige Joseph Rukasi.
Na Meck Lameck endelea....
Tukio hilo lilitokea tangu tarehe 11/2/2013 katika shule ya msingi Maendeleo Sunuka katika halmashauri ya wilaya ya uvinza mkoa wa Kigoma.
Tukio hilo lilitokea tangu tarehe 11/2/2013 katika shule ya msingi Maendeleo Sunuka katika halmashauri ya wilaya ya uvinza mkoa wa Kigoma.
Mtoto huyu tangu mwezi
wa 2-8/2013 hawezi kukaa wala kuamka kwa kipindi chote analalia tumbo!
(Picha na habari na Sharon Mashanya wa kalulunga blog)

No comments:
Post a Comment