Rais Magufuli aitakia heri Taifa Stars dhidi ya Chad
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameitakia
heri timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) katika mchezo wake dhidi ya
Timu ya Taifa ya Chad, utakaofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar
es salaam, kesho tarehe 28 Machi, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasihi
watanzania kuendelea kuwa wamoja na kushirikiana kuijenga nchi yao,
badala ya kubaguana.
Kutokana
na Tanzania kuwa na uchumi wa soko huria vijana wengi wameanza
kushiriki katika sekta isiyo rasmi hivyo kunawafanya kuchangia nusu ya
uchumi wa Taifa katika shughuli zao za kila siku.
Msemaji wa wasemaji wasiokuwa na mahali pa kusemea" Mecck Lameck@ Baraka fm Mbeya
Mwandosya amuita Lowassa kambi yake
Profesa Mark Mwandosya, ambaye anawania kuteuliwa na CCM
kugombea urais, amemtaka Edward Lowassa kujiunga na kambi yake kwa kuwa
makada wengine wanne kwenye mbio hizo wanamuunga mkono.