Kutokana
na Tanzania kuwa na uchumi wa soko huria vijana wengi wameanza
kushiriki katika sekta isiyo rasmi hivyo kunawafanya kuchangia nusu ya
uchumi wa Taifa katika shughuli zao za kila siku.
Msemaji wa wasemaji wasiokuwa na mahali pa kusemea" Mecck Lameck@ Baraka fm Mbeya
Mwandosya amuita Lowassa kambi yake
Profesa Mark Mwandosya, ambaye anawania kuteuliwa na CCM
kugombea urais, amemtaka Edward Lowassa kujiunga na kambi yake kwa kuwa
makada wengine wanne kwenye mbio hizo wanamuunga mkono.
Mwenyekiti wa kamati ya afya Aga Khan Mbeya (kushoto)Sultan Thawer, akitoa taarifa kabla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya tiba kwa Halmashauri nne za Mkoa wa Mbeya.
Ni ibaada iliyofanyika katika kanisa la moraviani ushirika wa Mbeya mjini Mchungaji wa kanisa hilo Godfrey Tinga na waombaji wapambana nayo ili kuyatoa kwa maombi