Pages

Saturday, 27 June 2015

Mwandosya amuita Lowassa kambi yake

Profesa Mark Mwandosya, ambaye anawania kuteuliwa na CCM kugombea urais, amemtaka Edward Lowassa kujiunga na kambi yake kwa kuwa makada wengine wanne kwenye mbio hizo wanamuunga mkono.

Thursday, 4 September 2014

HOSPITALI 4 ZA HALMASHAURI ZA WILAYA MKOA WA MBEYA ZANUFAIKA NA MSAADA WA VIFAA ULIOTOLEWA NA AGA KHAN

 Mwenyekiti wa kamati ya afya Aga Khan Mbeya (kushoto)Sultan Thawer, akitoa taarifa kabla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya tiba kwa Halmashauri nne za Mkoa wa Mbeya.

Mwanafunzi atupiwa mapepo yalipuka ibadani



Ni ibaada iliyofanyika katika kanisa la moraviani ushirika wa Mbeya mjini Mchungaji wa kanisa hilo Godfrey Tinga na waombaji wapambana nayo ili kuyatoa kwa maombi
UHARIBIFU WA MAZINGIRA MTO NZOVWE MBEYA WAKITHIRI

Wananchi waishio maeneo ya mwakibete mjini hapa wameiomba serikali kuwachukulia hatua kali za kisheria dhidi ya watu wanaofanya shughuli zao katika mto nzovwe kwani kufanya hivyo ni uharibifu wa chanzo hicho cha maji pamoja na kuhatarisha afya za watumiaji wengine wa mto huo.

Monday, 21 July 2014

MECK LAMECK BLOG. TUNAOMBA RADHI KWA KUTOKUWA PAMOJA NAWE KWA KWA MDA MREFU LAKINI HIYO ILIKUWA NI KATIKA KUJIPANGA NA SASA TUMEKUJA KWA SPEED YA AJABUUUUUU PATA HABARI KABAMBE KUTOKA KILA KONA YA DUNIA.
By MECK LAMECK.

newwwws

Chadema ngangari, yasisitiza kutoshiriki Bunge la Katiba



  • Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salam jana, kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama hicho, iliyokutana kwa siku mbili Dar es Salaam, Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho Dk. Wilbrod Slaa. Picha na Venance Nestor