Wanasheria
Fatma Karume (kulia) na Beatus Malima wanaowakilisha Chama cha Walaji
nchini wakijadiliana na mawakili wa Serikali, Alesia Mbuya (wa pili
kushoto) baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuahirisha kesi ya
kupinga kukatwa kodi ya Sh, 1,000 kwa kila simcard ambayo ilipitishwa
na Bunge la Bajeti la mwaka huu wa fedha wa 2013/149 (hd)
Pages
Wednesday, 9 October 2013
Marubani wageni ‘wavamia’ soko la ajira Tanzania

Mamlaka
ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imesema ajira ya marubani wazalendo
ipo mashakani kwa sababu ndege nyingi nchini, zinaongozwa na wageni.TCAA
imesema hali hiyo imekuwa ikichangiwa na kampuni zinazotoa huduma hizo
nchini, kutumia ndege nyingi za kukodi zinazofanya kazi chini ya
masharti yanayotoa nafasi kubwa ya kuongozwa na marubani wa kigeni.(hd)
Subscribe to:
Comments (Atom)




