Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni,
Tundu Lissu amesema hotuba ya kila mwezi ya Rais Jakaya Kikwete
aliyoitoa siku tatu zilizopita, imejaa maneno mengi ya kuambiwa hasa
kuhusu mchakato wa Katiba Mpya, ikiwa ni pamoja na uteuzi alioufanya wa
wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Mbunge ajitoa ujumbe bodi ya CDA kupinga bomoabomoa
NA JACQUELINE MASSANO Mbunge
wa Dodoma Mjini, David Malolle (CCM), ametangaza rasmi kujitoa kwenye
ujumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) na kuwataka
wananchi kuandamana ili mamlaka hiyo ifutwe kwani imekuwa ikibomoa mji
na si kuuboresha.(hd)
Waziri wa
Ujenzi Dkt. John Magufuli akisisitiza jambo kuhusu mgomo uliopangwa
kufanywa na wadau wa usafirishaji nchini wakati akizungumza na waandishi
wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar Es Salaam