Bunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akidhibitiwa na Polisi Ndani ya
Bunge wakati wa mdajadala wa Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria
ya Mabadiliko ya Katiba.Picha na Fidelis Felix
JOHANNESBURG, Afrika Kusini SERIKALI ya Afrika Kusini imesema kuwa Rais wa zamani wa nchi hiyo,
Nelson Mandela, ametolewa hospitali ambako amekuwa akitibiwa ugonjwa wa
mapafu tangu Juni mwaka huu.
KESI ya kikatika iliyofunguliwa na Kituo
cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Chama cha Wanasheria
Tanganyika (TLS) dhidi ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, inatarajiwa kuanza
kuunguruma Septemba 16, mwaka huu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mkazi wa
Kijiji cha Nyabibuye Kakongo katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, Susuluka
(16) anadaiwa kujeruhiwa vibaya usoni na bosi wake, Imani Paulo (36) kwa
kung’atwa ng’atwa usoni na kisha kunyofolewa macho, pua na meno kubaki nje,
kama ambavyo anaonekana pichani ukurasa wa mbele.
“Baada ya kumhoji ametueleza kuwa dawa hizo alizinunua maeneo ya
Magomeni, kwa sasa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya
uchunguzi na mahojiano zaidi.”
Clemence Jingu
Waziri Mkuu aliyejiuzulu ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa
akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa jana wakati wa
ibada ya mazishi ya Askofu Mkuu, Moses Kulola wa Kanisa la Evangelist
Assemblies of God Tanzania (EAGT) aliyezikwa nje ya Kanisa la Calvary