Daktari Bingwa wa Watoto katika Hospitali ya Muhimbili, Profesa Karim
Manji (wa pili kushoto) akifurahia na wenzake baada ya kufanikiwa kwa
operesheni ya kuwatenganisha watoto walioungana, kazi iliyofanywa na
jopo la madaktari bingwa saba kwa saa 4.
Jana ilikuwa ni mara ya pili wenzetu, kudharau
kiti cha Spika na kutaka kutoa hoja na kujadiliwa bila kufuata kanuni,
sasa tumeona ni vizuri na sisi kwa kupinga kuvunjwa kanuni, tutoke ili
kuonyesha tunapinga mchezo huu.
Sheikhe Ponda Issa Ponda akiwa chini ya ulinzi wa askari magereza wakati
akielekea katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro kusikiliza kesi yake
inayomkabili.
Kwa ufupi
Alifikishwa mahakamani hapo saa 4:10 asubuhi
akiwa katika basi la Magereza ambalo lilisindikizwa na jingine dogo,
huku magari mengine yakisimamishwa kupisha msafara huo.