Jana ilikuwa ni mara ya pili wenzetu, kudharau
kiti cha Spika na kutaka kutoa hoja na kujadiliwa bila kufuata kanuni,
sasa tumeona ni vizuri na sisi kwa kupinga kuvunjwa kanuni, tutoke ili
kuonyesha tunapinga mchezo huu.
Sheikhe Ponda Issa Ponda akiwa chini ya ulinzi wa askari magereza wakati
akielekea katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro kusikiliza kesi yake
inayomkabili.
Kwa ufupi
Alifikishwa mahakamani hapo saa 4:10 asubuhi
akiwa katika basi la Magereza ambalo lilisindikizwa na jingine dogo,
huku magari mengine yakisimamishwa kupisha msafara huo.
Kamati Kuu yamzuia Kagasheki kushiriki siasa mkoani Kagera
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na Waziri wa
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta wakati wa uzinduzi wa
Baraza la Wazee la Ushauri la CCM, mjini Dodoma jana.