Pages

Saturday, 24 August 2013

Mchakato wa kumrejesha Alex Massawe waiva


mfanyabiashara maarufu Alex Massawe, anayetafutwa na vyombo vya usalama 
Kwa ufupi
Hati hiyo ilitolewa juzi na Hakimu Mkazi Geni Dudu, kufuatia maombi ya Jamhuri, yaliyotolewa na Wakili Mwandamizi wa Serikali Tumaini Kweka, baada ya kumfungulia kesi ya jinai.

‘Chomoka na Mwananchi’ yavutia maelfu


Wafanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd waliotengeneza umbo la ‘M’ (Mwananchi) kuashiria kuanza kwa promosheni kabambe ya kuwajaza wasomaji wake mamilioni ya fedha na magari matatu mapya. Picha na Emmanuel Herman 

Mansour: Nitazungumza baada ya uamuzi wa chama


Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete, mjini Dodoma jana. Kutoka kushoto Pindi Chana, Dk Maua Daftari, Dk Asha-Rose Migiro, Salmin Awadh Salmin na Sophia Simba. Picha na Edwin Mjwahuzi 

Ndege ya Rais yadaiwa kubebea mkaa, mihogo


Ndege maalumu ya Rais Tanzania pia hutumika kubeba viongozi wa Serikali 


Kwa ufupi

  • Habari zilizopatikana kutoka ndani ya serikali ya Mapinduzi Zanzibar zinaeleza kuwa, tuhuma hizo zilitolewa na wabunge hao wakati wa kikao chao na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein mwezi uliopita.

Wednesday, 21 August 2013

FAMILIA YAMBURUTA LIYUMBA KORTINI

Na Rehema Maigala
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Utawala na Fedha katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba, amefunguliwa kesi ya madai na mke wake, Aurelia Ngowi, akiiomba mahakama hiyo imzuie aache kutawanya mali za familia ikiwa ni pamoja na kutaka kuuza nyumba anayoishi na watoto

POLISI 7 'FEKI' MBARONI DAR

  • WALIVALIA SARE,MMOJA ANA CHEO CHA MEJA
  • YADAIWA WALIKUWA 'DORIA' MAENEO YA BOKO
  • OFISA USALAMA BANDIA NAYE ABAMBWA

Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

 
Kwa ufupi
Nchi hizo zitaacha kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kutokana na urasimu na pia usumbufu katika kusafirisha bidhaa.