AMRI YA MWAKYEMBE JNIA YATEKELEZWA
Na Goodluck Hongo
SAKATA la maofisa wanne waliotajwa na Waziri wa Uchukuzi,
Dkt. Harrison Mwakyembe kuhusika na kupitisha dawa za kulevya kilo 150 katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) limeendelea kutekelezwa
baada ya maofisa hao kukabidhiwa barua zao rasmi.