Pages

Tuesday, 20 August 2013


Ponda Dar mpaka Moro kwa Helikopta


Helikopta ya polisi iliyombeba Katibu wa Jumuia na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ikiwa katika Uwanja wa Gymkhana mkoani Morogoro baada ya kumfikisha kiongozi huyo kwa ajili ya kupelekwa kusomewa mashtaka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani humo jana.Picha na Juma Mtanda  
Na Meck Lameck

Sunday, 18 August 2013

Rais wa Malawi ammwagia sifa Rais Kikwete...


RAIS wa Malawi, Joyce Banda amempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kuimarisha demokrasia, amani na usalama katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika (SADC).

Mwanamke mwingine abakwa na kuchomekwa miti sehemu za siri


Ikiwa  ni  siku  chache  baada  ya  mwnamke  mmoja  mkazi  wa  kahama  kubabwa  na  kutobolewa  macho  huku  akichomekwa  kisu  sehemu  zake  za  siri, mitandao  ya  kinigeria  nayo  imeripoti  unyama  kama  huo.....


Kwa  mujibu  ya  mitandao  hiyo, unyama  huo  unadaiwa  kutendwa  kwa  binti  wa  miaka  23  ambaye  alibakwa  na  kundi  la  wanaume  na  kisha  kumchomeka  miti  sehemu  za  siri  na  kumtoboa  macho....

Thursday, 15 August 2013

MWANAFUNZI AVUNJWA KIUNO NA MWALIMU WAKE KWA KUCHAPWA VIBOKO MKOANI KIGOMA


Hizi ni picha  za  mtoto  Isumaili  Joseph  anaesadikika kutendewa kitendo cha kinyama kwa  kupigwa viboko kiunoni  na mwalimu wake  Mr. Nguige Joseph  Rukasi.
Na Meck Lameck

MANISPAA YA IRINGA YAMALIZA UTATA KATI YA MACHINGA NA POLISI ENEO LA MASHINE TATU YAGEUZA STENDI YA DALADALA

 Daladala  zikiwa  zikisubiri abiria  katika  stendi mpya  ya Mashine  tatu  katika Manispaa ya Iringa eneo  ambalo awali  machinga  walikuwa  wakilitaka kwa shughuli zao  siku za  jumapili
Na Meck Lameck

KERO YA MAJI YAWATESA WANANCHI WA KIJIJI CHA NJELENJE MBEYA

 
Na Esther Macha,wa matukiodaima.com  mbeya
WANANCHI wa Kata ya Mshewe  kijiji cha Njelenje Wilaya ya Mbeya wamelalamikia  kutokuwa na maji kwa muda wa miaka 10 licha  ya uongozi wa kata hiyo kuendelea kuwachangisha michango  ya mabomba wananchi hao .
Na Meck

ZAHANATI YA NJELENJE MBEYA LAWAMANI

 
 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Ali Mwinyi
...................................................................................................

LUGHA za  manyanyaso ambazo zinatumika na wauguzi wa Zahanati ya Njelenje Wilaya ya Mbeya zimewafanya wanawake wa kijiji  hicho kuamua kujifungulia majumbani kwao ili kukwepa matusi wanayotukanwa.