Pages

Thursday, 15 August 2013

KONDA WA DALADALA IRINGA AFANYISHWA USAFI BAADA YA KUNASWA AKIJISAIDIA HADHARANI

 Kijana  anayefanya kazi ya  ukonda katika daladala  inayofanya safari  zake kati ya  Kitapilimwa - M.R miyomboni  Bw  Christipher Kinigo akifanya  usafi  wa  kuzoa  taka kwa  mikono baada ya  kunaswa  akijisaidia haja ndogo  katika  eneo hilo kinyume na sheria  za usafi  Manispaa ya  Iringa 
Na Meck Lameck

Wednesday, 14 August 2013

Waziri Mwakyembe akabidhi rasmi Ithibati ya mafunzo ya Mizigo hatarishi kwa NIT.

DSC_0693
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe(aliyevaa tai nyekundu), akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishani (NIT),Mhandisi Dk. Zacharia Mganilwa(kulia) jana kabla Waziri huyo hajakabidhi Ithibati ya Kuendeshea mafunzo ya wahudumiaji wa Mizigo hatarishi katika viwanja vya NIT. Kushoto  kwa Waziri wa Uchukuzi ni Mwenyektii wa Baraza la Uongozi wa chuo cha NIT, Ms. Priscilla J. Chilipweli.


Kamati kuu ya CCM kuamua hatma ya Madiwani Bukoba.

Nape-Nnauye
Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kagera tarehe 13/08/2013 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika mjini Bukoba imetangaza uamuzi wake wa kuwafutia dhamana ya CCM hivyo kuwavua Udiwani Madiwani wanane wa Manispaa ya Bukoba waliotokana na CCM.

BREAKING NEWS!! UZEMBE WA TANESCO WASABABISHA KIFO CHA BINTI WA MIAKA 26 JIONI HII MBALIZI MBEYA. 

MWILI WA MAREHEMU UKIWA KATIKA CHUMBA CHA MAITI HOSPITALI YA IFISI ILIYOKO WILAYA YA MBEYA UKISUBIRI UCHUNGUZI ZAIDI WA KITABIBU.

Polisi wamkamata aliyemuua Msuya


 

NA Meck Lameck
Kwa ufupi
  • Habari hizo zimedai kuwa polisi pia imewahoji mawakala wa kampuni za simu ambao walitumiwa kusajili laini mpya za simu zilizotumika kumpigia marehemu na kutumika kupanga mauaji hayo.
SITTA AGEUKA JIWE
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amebadili kauli yake ya awali, kwamba katiba mpya iondoe viti maalumu kwa kuwa wabunge wa viti maalumu hawana umuhimu wowote.

Kodi kuhamisha fedha yapingwa

 
Benki kuu ya Tanzania(BOT) 

Kwa ufupi
  • Katika taarifa yao kwa vyombo vya habari iliyochapishwa kwenye magazeti jana, chama hicho kimesema kuwa hakikushirikishwa katika utungaji wa sheria hiyo bali kilipata taarifa kupitia mawasiliano yake na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).