Pages

Sunday, 11 August 2013

TAARIFA TATA ZA PONDA,VYOMBO VYA NDANI NA NNJE VYATOFAUTIANA.

 
Sheikh Issa Ponda is understood to have survived the raid and was on the run but injured, police sources told The Daily Telegraph.

Saturday, 10 August 2013


JE WAJU KUWA?

KANISA LA SILOAM LIJULIKANALO KAMA SILOAM MINISTRY INTERNATIONAL

******************************
SASA LIMEWASILI WILAYANI LUDEWA KUMBUKA HUDUMA IPO CHINI YA NABII ELIYA WA KIZAZI CHA NNE.

*******************************

MAKAO MAKUU YA KANISA HILO YAPO MBEZI MAKONDE JIJINI DAR ES SALAAM


KAMA UMEFUNGWA NJOO UFUNGULIWE KWA: KUVUNJA MISINGI MIBOVU KAMA MAGONJWA,LAANA,UGUMBA,UTASA PAMOJA NA KUPATA MAFANIKIO YALIYO YA HALALI KABISAAAAAAAAAAAAAAAAA.


KANISA LIPO WILAYANI LUDEWA MKABALA NA BENKI YA WANANCHI NJOCOBA.

*****
NYOTE MNAKARIBISHWA

Tuesday, 6 August 2013


38 wafa kwa mafuriko Sudan

Wananchi wakiwa juu ya maji baada ya kutokea mafuriko kutokana na mvua zilizonyesha na kusababisha vifo vya watu 30. (PICHA NA FOXNEWS)

KHARTOUM, Sudan
WATU wasiopungua 38 wanaripotiwa kupoteza maisha nchini Sudan baada ya kutokea mvua kubwa iliyoambatana na mafuriko.

Viti Maalumu wamjibu Sitta

 
 


0
Akizungumza jana kwenye mkutano wa Chama cha Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), kujadili mchakato wa Mabadiliko ya Katiba, Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Esther Bulaya alisema wanafanya kazi nchi nzima kuwashinda wabunge waliochaguliwa. 


John Tendwa nje

 
Na MECK Lameck

Rais Jakaya Kikwete amemteua Jaji Francis Mutungi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa kujaza nafasi iliyoachwa na John Tendwa ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria.
 
Endelea

Friday, 2 August 2013


Mugabe ‘amburuta’ Tsvangirai

 
0
Share

Mugabe ameiongoza Zimbabwe kwa miaka 33 wakati mpinzani wake aliyekuwa Waziri Mkuu anawania urais kwa mara ya tatu.
Vyama vinavyochuana ni pamoja na Zanu-PF cha Mugabe, MDC kilichomsimamisha Tsvangirai. Vingine ni Independent, UPP na Zapu.


Waziri Mkuu Pinda ashtakiwa mahakamani

 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Hellen Kijo-Bisimba akiwaonyesha waandishi wa habari, stakabadhi na hati ya mashtaka yaliyofunguliwa dhidi ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es Salaam jana. Picha Meck lameck