Pages

Monday, 7 October 2013

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAshinda VIKOMBE VITATU NA MEDALI TATU-SHIMI​WI DODOMA

PIX 1 ede04

Wednesday, 2 October 2013

VURUGU KUBWA ZIMEZUKA TENA WAKATI WAFANYABIASHARA WAKISUBILI MKUTANO WAKATI HUU ENDELEA KUFUATILIA MTANDAO HUU KWA TAARIFA ZAIDI.

Wafanya Biashara wakiwa wanajiandaa kusikiliza mkutano muda mchache uliopita na Ghafla vurugu kuzuka tena ....

MBEYA KIMENUKA.

 Polisi wakiwa katika ulinzi mkali 
 Maduka yakiwa yamefungwa 
 Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini  hatma yao
 Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu
 Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote
 Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA
 Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitia 
 Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite
 Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili.....



Monday, 30 September 2013

ANGALIA PICHA ZAIDI uharibifu wa mvua dar

DSC 0021 f742f
DSC 0022 14c5b
DSC 0023 4dca7
DSC 0024 84ae1
DSC 0025 b53a6
DSC 0029 f1a78
DSC 0030 1cf2f
DSC 0032 619ab
DSC 0034 100af
DSC 0037 9e07c
DSC 0039 5707d
PICHA NA HUDUGU NG'AMILO.

Saturday, 28 September 2013

TUNAOMBA RADHI KWA KUTOKUWA NANYI KWA MUDA WA SIKU MBILI LAKINI KWA SASA ENDELEA KUPATA HABARI MBALIMBALI KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA KELVIN LAMECK-0753900496/0653800496.

JAHAZI TARENT CHOIR (JTC) INAMSHUKURU MUNGU KUWAWESHA KUREKODI ALBAMU YAO YA KWANZA INAYOKWENDA KWA JINA LA BUSTANI AMBAYO INA NYIMBO NANE.

HIVI SASA JAHAZI TALENT CHOIR WANATARAJIA KUTOA MKANDA WA VIDEO NA KAMA WEWE UNAGUSWA ZAIDI NA KAZI YA MUNGU WANAYOTARAJIA KUIFANYA BASI WAWEZA KUWASILIANA NA KATIBU WA KWAYA KWA SIMU NAMBA 0784-691783,0763-023811.

JAHAZI TARENT CHOIR WANAPATIKANA JIJINI MBEYA KATIKA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHELI LILILOPO ISANGA JIJINI HUMO, KUMBUKA TWENDENI SHAMBANI MWA BWANA TUKAIFANYE KAZI YAKE BARIKIWA....

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI

DSC00260 
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya ACP Diwani Athumani
………………………………………………………………………………………………..
WILAYA YA  CHUNYA  – KUPATIKANA NA BHANGI.
MNAMO TAREHE 27/09/2013 MAJIRA YA  SAA 14:30HRS HUKO KATIKA KIJIJI CHA KARUNGU – MAKONGOLOSI  WILAYA YA  CHUNYA MKOA WA MBEYA.