Pages

Saturday, 7 September 2013

Kiini cha vurugu bungeni chabainika

 
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe akizungumza kwenye kikao cha maamuzi ya pamoja  na Vyama vingine juu ya kususia mjadala wa Marerkebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Bungeni  juzi jioni.Kushoto ni Mbunge wa Mkanyageni,Hbib Mnyaa(CUF)na Mbunge wa Kuteuliwa NCCR Mageuzi,James Mbatia.Picha na Fidelis Felix

Friday, 6 September 2013

KCMC yamnasa daktari feki akiandaa upasuaji

 
Na Rehema Matowo
Kwa ufupi
Alikuwa wodi ya watoto akitaka kumfanyia upasuaji wa ngozi mmoja wa wagonjwa baada ya kuomba rushwa ya Shilingi 200,000.


Sheikh Azzan atakiwa kutibiwa nje

Sheikh Azzan Khalid Hamadan 
Kwa ufupi
  • Kamishna wa Chuo cha Mafunzo (Magereza) Zanzibar, Khalifa Hassan alisema wamelazimika kuomba mwongozo kwa Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar (DPP) ambaye kwa niaba ya Serikali ndiye aliyemfungulia mashtaka.

Ghasia kubwa zalipuka kupinga muswada


Bunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akidhibitiwa na Polisi Ndani ya Bunge wakati wa mdajadala wa Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.Picha na Fidelis Felix 


Wednesday, 4 September 2013

MJANE WA MIAKA 60 ANAOMBA MSAADA WA KUTIBIWA MKONO WAKE ULIYOANZA KUHARIBIKA BAADA YA KUJERUHIWA NA NYOKA WILAYANI CHUNYA.


Mandela arudishwa nyumbani

Gari la kubebea wagonjwa likimrudisha nyumbani Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela jana
JOHANNESBURG, Afrika Kusini
SERIKALI ya Afrika Kusini imesema kuwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Nelson Mandela, ametolewa hospitali ambako amekuwa akitibiwa ugonjwa wa mapafu tangu Juni mwaka huu.

KESI DHIDI YA PINDA YAIVA

KESI ya kikatika iliyofunguliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, inatarajiwa kuanza kuunguruma Septemba 16, mwaka huu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.