Kibanda, Mwigamba wajitetea
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited
(MCL), Tido Mhando (katikati), akifurahia jambo na Meneja Uendelezaji
Biashara, Theophil Makunga na Mwanasheria MCL, Doris Marealle nje ya
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, kabla ya kuanza kwa
kesi ya uchochezi inayomkabili Makunga na wenzake wawili.

