Pages

Wednesday, 4 September 2013

Wabunge Z’bar wakwamisha Muswada wa kura za Maoni

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Terezya Huviza akijibu swali bungeni Dodoma jana.
Kwa ufupi
  • Wao wanasema masuala ya kura ya maoni siyo ya Muungano kwa sababu wao tayari wana sheria yao ya kura ya maoni. Sasa wanahoji inakuwaje sheria hii itumike tena hadi Zanzibar?

Sunday, 1 September 2013

Dk. Slaa awasilisha maboksi 17

YANAHUSU MAONI YA 
 
KATIBA,
 
 WARIOBA 
 
AGOMA
TUME ya kukusanya maoni ya Katiba mpya inayoongozwa na Jaji mstaafu, Joseph Warioba, jana imegoma kupokea maboksi 17 ya maoni yaliyokusanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na badala yake ikapokea vitabu viwili vya randama kwa ajili ya maoni hayo.

ZIARA YA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA MAKETE YAZIDI KUIBUA MENGI"

Katibu wa CCM wilaya ya Makete Miraji Mtaturu (kulia) akizungumza katika ziara ya kukagua maendeleo ya shule ya msingi Nkenja wilayani Makete, kushoto kwake ni mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Makete Francis Chaula(Picha zote na Edwin Moshi)

Viongozi watoa ushuhuda Kulola alivyowasaidia

Mdhamini wa Makanisa ya EAGT, John Mfuko akitoa heshima za mwisho mbele jeneza lenye mwili wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania(EAGT), Dk Moses Kulola jijini Dar es Salaam. Picha na Salim Shao. 

Kwa ufupi
  • Viongozi hao ni pamoja na Paul Kimiti ambaye alikiri mbele ya maelfu ya waombolezaji kwamba maombi ya Askofu huyo, yalimpa mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupata uwaziri mara mbili.

Ulinzi Shirikishi watumika kutapeli Ubungo

Mabasi yakiwa yameegeshwa kwenye Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam. Picha ya Maktaba 

Kwa ufupi
Mbali na kufanyika kwa vitendo hivyo kituo hicho kinadaiwa kuwa soko kubwa la biashara haramu ya dawa za kulevya aina ya Bangi na Mirungi.

Dar es Salaam.

Mauaji ya kutisha mkoani Simiyu

Wakazi wa Simiyu wakiwa katika moja ya mikutano yao
Kwa ufupi
Taarifa zinaonyesha kuwa kwa mwaka jana pekee, wastani wa watu watatu walikuwa wakiuawa kila wiki na kikundi hicho cha watu kinachofahamika kama Baraza la Kimila katika Mkoa wa Simiyu, wakiwamo wanawake na watoto.

Bastola nje nje, zauzwa mitaani nchini

  
  Kwa ufupi
Uchunguzi wa kina wa gazeti hili katika mikoa mbalimbali nchini ikiwamo iliyopo mipakani inaonyesha kuwa, bastola zinamilikiwa na watu bila ya kufuata taratibu na nyingine zikitumika kwa ajili ya kufanyia uhalifu.