Viongozi watoa ushuhuda Kulola alivyowasaidia
Mdhamini wa Makanisa ya EAGT, John Mfuko akitoa heshima za mwisho mbele
jeneza lenye mwili wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Evangelistic Assemblies
of God Tanzania(EAGT), Dk Moses Kulola jijini Dar es Salaam. Picha na
Salim Shao.
Kwa ufupi
- Viongozi hao ni pamoja na Paul Kimiti ambaye alikiri mbele ya maelfu ya waombolezaji kwamba maombi ya Askofu huyo, yalimpa mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupata uwaziri mara mbili.




