Pages

Wednesday, 28 August 2013


Lukuvi: Wabunge wengi wamo orodha ya dawa za kulevya


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi 
Na Habel Chidawali  (email the author)
Kwa ufupi
  • Lakini asema Serikali haiwezi kukurupuka kuwataja kwa kuwa haina ushahidi wa kutosha

Sunday, 25 August 2013


Kamati Kuu yamzuia Kagasheki kushiriki siasa mkoani Kagera

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta wakati wa uzinduzi wa Baraza la Wazee la Ushauri la CCM, mjini Dodoma jana.

Saturday, 24 August 2013

Mchakato wa kumrejesha Alex Massawe waiva


mfanyabiashara maarufu Alex Massawe, anayetafutwa na vyombo vya usalama 
Kwa ufupi
Hati hiyo ilitolewa juzi na Hakimu Mkazi Geni Dudu, kufuatia maombi ya Jamhuri, yaliyotolewa na Wakili Mwandamizi wa Serikali Tumaini Kweka, baada ya kumfungulia kesi ya jinai.

‘Chomoka na Mwananchi’ yavutia maelfu


Wafanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd waliotengeneza umbo la ‘M’ (Mwananchi) kuashiria kuanza kwa promosheni kabambe ya kuwajaza wasomaji wake mamilioni ya fedha na magari matatu mapya. Picha na Emmanuel Herman 

Mansour: Nitazungumza baada ya uamuzi wa chama


Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete, mjini Dodoma jana. Kutoka kushoto Pindi Chana, Dk Maua Daftari, Dk Asha-Rose Migiro, Salmin Awadh Salmin na Sophia Simba. Picha na Edwin Mjwahuzi 

Ndege ya Rais yadaiwa kubebea mkaa, mihogo


Ndege maalumu ya Rais Tanzania pia hutumika kubeba viongozi wa Serikali 


Kwa ufupi

  • Habari zilizopatikana kutoka ndani ya serikali ya Mapinduzi Zanzibar zinaeleza kuwa, tuhuma hizo zilitolewa na wabunge hao wakati wa kikao chao na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein mwezi uliopita.

Wednesday, 21 August 2013

FAMILIA YAMBURUTA LIYUMBA KORTINI

Na Rehema Maigala
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Utawala na Fedha katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba, amefunguliwa kesi ya madai na mke wake, Aurelia Ngowi, akiiomba mahakama hiyo imzuie aache kutawanya mali za familia ikiwa ni pamoja na kutaka kuuza nyumba anayoishi na watoto