Pages

Tuesday, 20 August 2013

BREAKING NEWSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS
MBEYA
MTOTO WA KIKE ALIYEFAHAMIKA KWA JINA MOJA HADIJA  ANAYEKADILIWA KUWA NA UMRI WA MIAKA 8 AMEGONGWA NA GARI AINA YA TAXI T 220 AZN, KATIKA ENEO LA MSIKITINI-ISANGA JIJINI MBEYA, HUKU CHANZO KIKIDAIWA KUWA DEREVA WA GARI HILO ALIKUWA AKIENDESHA KWA MWENDO KASI HUKU AKIWA AMELEWA KWA TAARIFA ZAIDI ENDELEA KUFUATILIA BLOG HII........ 

AMRI YA MWAKYEMBE JNIA YATEKELEZWA

Na Goodluck Hongo
SAKATA la maofisa wanne waliotajwa na Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe kuhusika na kupitisha dawa za kulevya kilo 150 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) limeendelea kutekelezwa baada ya maofisa hao kukabidhiwa barua zao rasmi. 

 

MAJAMBAZI YAUWAWA DAR

MAJAMBAZI wawili wameuawa na wananchi wenye hasira baada y a k ump o r a f e d h a mfanyabiashara, Wiliam Mathias mkazi wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam. 
Na Meck Lameck


VIGOGO DECI CHINI YA ULINZI

Watuhumiwa waliotiwa hatiani kwa makosa ya kupokea fedha kupitia taasisi isiyo halali ya DECI, kinyume cha sheria wakiwa chini ya ulinzi mara baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana. Washtakiwa hao ni Jackson Mtares, Dominick Kigendi, Timotheo ole Loitignye na Samwel Sifael Mtares

RIPOTI MAALUM:HATARI ZIWA VICTORIA

  • WATANZANIA WALISHWA VINYESI, MENGI YAIBUKA

Vigogo kutoa ushahidi dhidi ya Mbunge Lema


Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema 
Na Peter Saramba  (email the author)
Kwa ufupi
  • Wakili wa Serikali, Elinenya Njiro, alitaja mashahidi wengine watakaotoa ushahidi wao mahakamani kuwa Faraji Mnepe, Benjamin Simkanga na Naibu Hamidu, wote kutoka Chuo cha Uhasibu.

 Na Meck Lameck

Butiku: Ningejua CCM itaingilia mchakato wa Katiba nisingeshiriki


Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku 
Kwa ufupi
  • Butiku ambaye alitoa kauli hizo kwa nyakati tofauti, wikiendi iliyopita kwenye Mabaraza ya Katiba ya Halmashauri ya Mji wa Soni, Lushoto na Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, alieleza kutokufurahishwa kwake na kitendo cha CCM kushinikiza maoni yake mbele ya mabarza
  • Na Meck Lameck