Pages

Tuesday, 20 August 2013

 

MAJAMBAZI YAUWAWA DAR

MAJAMBAZI wawili wameuawa na wananchi wenye hasira baada y a k ump o r a f e d h a mfanyabiashara, Wiliam Mathias mkazi wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam. 
Na Meck Lameck


VIGOGO DECI CHINI YA ULINZI

Watuhumiwa waliotiwa hatiani kwa makosa ya kupokea fedha kupitia taasisi isiyo halali ya DECI, kinyume cha sheria wakiwa chini ya ulinzi mara baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana. Washtakiwa hao ni Jackson Mtares, Dominick Kigendi, Timotheo ole Loitignye na Samwel Sifael Mtares

RIPOTI MAALUM:HATARI ZIWA VICTORIA

  • WATANZANIA WALISHWA VINYESI, MENGI YAIBUKA

Vigogo kutoa ushahidi dhidi ya Mbunge Lema


Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema 
Na Peter Saramba  (email the author)
Kwa ufupi
  • Wakili wa Serikali, Elinenya Njiro, alitaja mashahidi wengine watakaotoa ushahidi wao mahakamani kuwa Faraji Mnepe, Benjamin Simkanga na Naibu Hamidu, wote kutoka Chuo cha Uhasibu.

 Na Meck Lameck

Butiku: Ningejua CCM itaingilia mchakato wa Katiba nisingeshiriki


Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku 
Kwa ufupi
  • Butiku ambaye alitoa kauli hizo kwa nyakati tofauti, wikiendi iliyopita kwenye Mabaraza ya Katiba ya Halmashauri ya Mji wa Soni, Lushoto na Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, alieleza kutokufurahishwa kwake na kitendo cha CCM kushinikiza maoni yake mbele ya mabarza
  • Na Meck Lameck

Ponda Dar mpaka Moro kwa Helikopta


Helikopta ya polisi iliyombeba Katibu wa Jumuia na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ikiwa katika Uwanja wa Gymkhana mkoani Morogoro baada ya kumfikisha kiongozi huyo kwa ajili ya kupelekwa kusomewa mashtaka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani humo jana.Picha na Juma Mtanda  
Na Meck Lameck

Sunday, 18 August 2013

Rais wa Malawi ammwagia sifa Rais Kikwete...


RAIS wa Malawi, Joyce Banda amempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kuimarisha demokrasia, amani na usalama katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika (SADC).