Pages

Wednesday, 14 August 2013

Necta kusahihisha mitihani ya kujieleza kwa kompyuta

 
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Nchini (Necta), Dk Joyce Ndalichako 
Na Fredy Azzah  (email the author)

Kwa ufupi
Hatua hii inakuja baada ya Serikali kuanza kuitumia kusahihisha mitihani ya darasa la saba jana

Ponda: Risasi ilinichanganya

 
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa na mkewe Hadija Ahamad alipomtembelea jana. Picha na Beatrice Moses
Kwa ufupi
  • Namshauri Rais (Jakaya Kikwete), kuhakikisha kwamba haki za wanyonge zinawafikia, asije akafikiri hili lililotokea kwa Sheikh Ponda ni suluhisho, ni vyema kufanya mazungumzo ili kuweka mabadiliko.

Tuesday, 13 August 2013

Bilionea Msuya kuzikwa leo, jeneza lafunguliwa kwa ‘rimoti’

 
 

Kwa ufupi
  • Wafanyabiashara wanne wa Tanzanite waendelea kuhojiwa polisi, huku familia ikisema haitalipiza kisasi.


Polisi latangaza dau la Sh100 milioni

Suleiman Kova 
Na Bakari Kiango  (email the author)

Kwa ufupi
  • Kova alisema mtuhumiwa huyo ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo (TALL), alikamatwa juzi saa 2:00 usiku maeneo ya Mbezi Beach, wilayani Kinondoni.

Yapinga polisi kutumia nguvu, yataka RPC Moro ajiuzulu

Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa na wakili wake, Juma Nassoro katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (Moi), jijini Dar es Salaam jana. Picha na Venance Nestory 
Na Mwandishi Wetu na Mashirika,  (email the author)

Kwa ufupi
Ni Shilogile wa Morogoro, yataka apishe tume huru kuchunguza tukio hilo, Moi wakwepa kuzungumzia risasi

Sunday, 11 August 2013

Waingereza waliomwagiwa tindikali waitesa Serikali


  • Agosti 7, mwaka huu raia wawili wa Uingereza, Kate Gee (18) na Kirstie Trup (18) walimwagiwa tindikali katika maeneo ya Mji Mkongwe, Zanzibar na vijana wawili waliokuwa wakiendesha pikipiki aina ya Vespa, Waingereza hao wa walisafirishwa siku tatu zilizopita kurudi kwao kwa ajili ya matibabu.


Serikali yamgeuka Ulimboka
•  Yadai ameficha ushahidi wa kutekwa kwake

SIKU chache baada ya Mahakama ya Kisutu kumwachia mtu aliyedaiwa kumteka na kumtesa kiongozi wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka, serikali imemshukia daktari huyo na kudai ndiye chanzo cha kukwama kwa dola kukamata watu waliomteka.