Watumishi Wa Afya Nchini Wanatakiwa Kuchunguza Watoto Saratani Ya Macho Kila Wanapohudhuria Klinik.
WATUMISHI
wa Afya wa ngazi ya Jamii,Zahanati , Vituo vya afya vya na Hospitali za
Kliniki za Mama na Mtoto za Wilaya zinatakiwa kuchunguza Uakisi wa
mwanga kwenye mboni za watoto kila wanapoenda kucheki ukuaji wa watoto
hao ili kupunguza uwepo wa saratani ya macho kwa watoto.















