Pages

Thursday, 4 September 2014

HOSPITALI 4 ZA HALMASHAURI ZA WILAYA MKOA WA MBEYA ZANUFAIKA NA MSAADA WA VIFAA ULIOTOLEWA NA AGA KHAN

 Mwenyekiti wa kamati ya afya Aga Khan Mbeya (kushoto)Sultan Thawer, akitoa taarifa kabla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya tiba kwa Halmashauri nne za Mkoa wa Mbeya.

Mwanafunzi atupiwa mapepo yalipuka ibadani



Ni ibaada iliyofanyika katika kanisa la moraviani ushirika wa Mbeya mjini Mchungaji wa kanisa hilo Godfrey Tinga na waombaji wapambana nayo ili kuyatoa kwa maombi
UHARIBIFU WA MAZINGIRA MTO NZOVWE MBEYA WAKITHIRI

Wananchi waishio maeneo ya mwakibete mjini hapa wameiomba serikali kuwachukulia hatua kali za kisheria dhidi ya watu wanaofanya shughuli zao katika mto nzovwe kwani kufanya hivyo ni uharibifu wa chanzo hicho cha maji pamoja na kuhatarisha afya za watumiaji wengine wa mto huo.